ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mtaongea Kila excusesChumvi nyingi + Tozo
MbeleMbona mimi siuoni mifuko myeupe.
Unakua kuelekea wapi?
Uhasama gani?Hivi hamuwezi kuandika ujumbe mpk mulete uhasama?
Ili iwaje?Kwanini wasiweke 30 kabisa
Haters imefata nini kwenye post?Uhasama gani?
Excuses as usual,umeishiwa hoja 😁😁Nani aaiyejua serikali ya ccm,ni mabingwa wa kupika data ila ki uhalisia hali ni tete,uchumi unakua kwenye makaratasi tu,absurd
Imefuata Haters wa Samia na MwiguluHaters imefata nini kwenye post?
Ili wavunje kabisa rekodi ya mama anaupiga mwingiIli iwaje?
Sio wapuuzi kama weweIli wavunje kabisa rekodi ya mama anaupiga mwingi
Wengi wa wapingaji ni HKL,HGK na HGL,unategemea nini hapoNimepitia maoni ya wachangiaji wote hadi hapa, nimeona walioridhia hiyo ripoti ya BoT ni asilimia 15 wakati walioipinga ni 85%
Kwahiyo BoT mnatakiwa kutoa ripoti inayoakisi hali halisi, hauwezi kusema Uchumi umekuwa wakati hali za maisha ziko Chini. Still watu wanakula milo miwili