Kwa hiyo benki kuu imejivika jukumu la kuwa wakili wa hizo bank ambazo staff wao waliji-involve na hizo misconduct?
Hata kama lengo lao ni zuri lakini kwa bank kuu kujihusisha na hili moja kwa moja kunaonesha kuna msukumo wanaoupata toka mahali, wanataka hao watuhumiwa waka settle matter kwa DPP kama kawaida yao, wachukue mzigo wakafanyie mambo yao.
Binafsi ningependa hizo kesi ziende mahakamani, kila upande upeleke mashahidi wake mbivu na mbichi zikaamuliwe na hakimu, sitaki hao watuhumiwa waishie kukaa jela miaka kesi zikiitwa mahakamani upande wa mashtaka kila siku waseme uchunguzi bado unaendelea, huu ni uonevu.