fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
Kwaiyo ni mwendo wa kufukua makaburi watu watapona kweli🙆No stone will be left unturned ✌👍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo ni mwendo wa kufukua makaburi watu watapona kweli🙆No stone will be left unturned ✌👍
Moja ya wajibu wa regulator ni kuhakikisha pesa iliyowekezwa ni pesa iliyopatikana kwa njia halali na kwamba wamiliki wa taasisi pamoja na viongozi wa taasisi hawajawahi kuhusika kwenye hayo makandokando😎Kwaiyo ni mwendo wa kufukua makaburi watu watapona kweli🙆
Mkuu mahakama zipi?maana umesahau muhimili uliojichimbia chini zaidi na maelekezo yake?hapo kama unahela ni kusepa tu usubilie mi5 ipite uludi mjiniKwa hiyo benki kuu imejivika jukumu la kuwa wakili wa hizo bank ambazo staff wao waliji-involve na hizo misconduct?
Hata kama lengo lao ni zuri lakini kwa bank kuu kujihusisha na hili moja kwa moja kunaonesha kuna msukumo wanaoupata toka mahali, wanataka hao watuhumiwa waka settle matter kwa DPP kama kawaida yao, wachukue mzigo wakafanyie mambo yao.
Binafsi ningependa hizo kesi ziende mahakamani, kila upande upeleke mashahidi wake mbivu na mbichi zikaamuliwe na hakimu, sitaki hao watuhumiwa waishie kukaa jela miaka kesi zikiitwa mahakamani upande wa mashtaka kila siku waseme uchunguzi bado unaendelea, huu ni uonevu.