steveson manumbu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 887
- 178
Ni mbinu za kuwasomesha tu watoto wao.
hz GPA mbona kubwa sana?
Mkuu unataka kijana akaze nyoro? hahahahndo pa kukaza nyoro sasa uipate we unadhani kusoma kazi ya kukata vitunguu ile?
kwa hyo gpa nawaona watoto wa st joseph au tumaini...ndo wenye hzo gpa wengi
Haya ndo Mambo ya kujadi, sio ubinafsi na kusifu vyuo mlivyo soma, ubora wake Huku mkibeza vyuo msivyo vijua. Badilikaaa!!!
Sasa na sisi tunaoendelea nivipi bana?
Inapendeza, watakao pata fursa hiyo waitumie vyema.]
Lengo ni zuri,tatizo ni utekelezaji,we subiri majina -ubini wa watakao pata ndio utajua ninamaanisha nini,na wote watakao pata fuatilia ni sekondari gani wamesoma,ni ngumu mtu atoke vikoroboi secondary school na hata kama ana sifa hizo kupata opportunity kama hiyo.
Msikate tamaa waambie wadogo zenu waapply. Mimi namfahamu mwanafunzi wa kibaha ambaye wazazi wake ni watu wa kawaida na alipata hiyo scholarship