BoT watoa scholarships kwa undergraduate & postgraduate 2014/2015

BoT watoa scholarships kwa undergraduate & postgraduate 2014/2015

kazi kweli watoto wao wasiende mwende nyie i noma waku tena chache hivyo. na hiyo BOT si ndo imejaa watoto wa wakubwa tu ngoja waendelee kutufanya sisi makabwela hamnazo.
 
Lengo ni zuri,tatizo ni utekelezaji,we subiri majina -ubini wa watakao pata ndio utajua ninamaanisha nini,na wote watakao pata fuatilia ni sekondari gani wamesoma,ni ngumu mtu atoke vikoroboi secondary school na hata kama ana sifa hizo kupata opportunity kama hiyo.
 
haya BOT wamefanya yao... serikali ianze kusomesha sasa top20 vyuo vikubwa duniani.. tuwaige majirani zetu hadi rwanda wanatula kichwa!
 
kwa hyo gpa nawaona watoto wa st joseph au tumaini...ndo wenye hzo gpa wengi
 
Haya ndo Mambo ya kujadi, sio ubinafsi na kusifu vyuo mlivyo soma, ubora wake Huku mkibeza vyuo msivyo vijua. Badilikaaa!!!
 
Yeeees, japo fursa ni chache ila kitakacho angaliwa zaidi ni fani walizozitaja na ufaulu/GPA kwani nina imani hatapenda wafanye yale yaliyowahi kufanywa na IDARA YA UHAMIAJI
kwa hyo gpa nawaona watoto wa st joseph au tumaini...ndo wenye hzo gpa wengi
 
Tena vyuo vyenye majina na graduands wake waliofikisha hizo GPA wengi wao wapo mbali hivyo basi tuamini kuwa mwenye bahati atapata fursa ya kielimu haijalishi kasome UDSM au TEKU
Haya ndo Mambo ya kujadi, sio ubinafsi na kusifu vyuo mlivyo soma, ubora wake Huku mkibeza vyuo msivyo vijua. Badilikaaa!!!
 
vicent X, kaza msulu mkuu, scholarships za aina hii nyingi utakutana nazo mbele ya safari, ongeza juhudi ktk kusoma ili utoke na ufaulu mzuri zaidi
Sasa na sisi tunaoendelea nivipi bana?
 
Usemacho ni ukweli mtupu ila siamini kama BOT watapenda yawatokee kama yaliyotokea kule IDARA YA UHAMIAJI kwani imesemekana pale WIZAYA YA MAMBO YA NDANI ilikuwa ni shidaaaaa juu ya suala lile
Lengo ni zuri,tatizo ni utekelezaji,we subiri majina -ubini wa watakao pata ndio utajua ninamaanisha nini,na wote watakao pata fuatilia ni sekondari gani wamesoma,ni ngumu mtu atoke vikoroboi secondary school na hata kama ana sifa hizo kupata opportunity kama hiyo.
 
Nadhani kupitia reference hii wengi wataamini kuwa kila shetani na mbuyu wake, inaweza ikawa safari hii ni zamu yako ewe kijana mwenye sifa, omba scholarship bila kusita
Msikate tamaa waambie wadogo zenu waapply. Mimi namfahamu mwanafunzi wa kibaha ambaye wazazi wake ni watu wa kawaida na alipata hiyo scholarship
 
Back
Top Bottom