BoT yaanzisha kanuni za kumlinda mteja wa huduma za fedha

BoT yaanzisha kanuni za kumlinda mteja wa huduma za fedha

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
March 5, 2020

Meneja Msaidizi Dawati la Kutatua Migogoro Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Ganga Mlipano, akielezea Kanuni za kumlinda mteja wa huduma za fedha zilizoanzishwa tarehe 22/11/2019 zinazolenga kumsaidia mteja wa huduma za fedha nchini kupata haki zake.

Dawati hilo la BoT kwa mfano linasaidia masuala ya Benki kutoa mikopo yenye lugha ngumu, kupata hati ya dhamana mara baada ya kumaliza mkopo, Amenyimwa mkopo bila kuambiwa sababu za kunyimwa mkopo. Mabenki kutatua baadhi ya masuala ndani ya masaa 6



Source: Bank of Tanzania
 
hao BOT wana masharti magumu sana kwa wakopaji wao, halafu wanataka taasisi za fedha wawe na masharti wepesi
 
hujatoa mawasiliano ya simu"
wengine tupo mbali sana.
karibia mwezi sasa Bayport wamegoma kunipa balance wanayonidai ili niwalipe tuachane
lengo Lao ni kuendlea kunikata kinyume na mkataba wao.
wananikomoa makusudi hali mimi ni mteja wao wa siku nyingi.
npo chato.
Bayport ni zaid ya korona,
hawafai hawafai hawafai:
Watumishi msije sema hamkwambiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakopesha hata watu binafsi mradi GAVANA akujue; Marehemu Balali alimkopesha Chrisant Majiyatanaga Mzindakaya mamilioni ya fedha!!!! Mfipa wa watu akajiongezea taratibu!!!
 
Back
Top Bottom