BoT yamtunuku Rais Samia Tuzo ya Kinara wa Mapinduzi ya Mifumo na Huduma Jumuishi za Kifedha

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa tuzo maalumu na ya kipekee na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ikitambua mchango wake mkubwa na maono yake kama kinara wa mabadiliko ya kiuchumi na mifumo ya kifedha nchini.

Tukio hilo limejiri leo Juni 12, 2026, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam, ambapo Rais Samia alikuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Benki Kuu nchini.

Your browser is not able to display this video.
 
Hongera Mama Tuzo.
Kumbe kila mtu anajua!!!
 
Top Awardist Ever President in east African
 
Taasis zinapokuwa compromised
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…