Botswana: Luteni wa Jeshi aua Mkewe na Mchepuko wake

Vingine huwa mnasingizia tu afya ya akili.
Kama hayo yanayopelekwa hayo matukio yanalazimishwa ichukuliwe ni jambo la kawaida basi na matokeo yake nayo yachukuliwe hivyo kuwa ni ya kawaida.
 
Wamedumu kwenye uhusiano kwa muda mrefu sana mkuu zaidi ya miaka 10 na tangu wafunge ndoa ni miezi miwili imepita ,kungekuwa na issue hizo wangeshatemana kitambo ,why ije tu ndani ya hii miezi miwili?
Alafu inakuwaje mnaishi kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana kwa amani,lakini siku mkiamua kufunga Ndoa rasmi lazima ndani ya muda mfupi baada ya kufunga ndoa lazima mpalaganyike,hii nimeona kwa Wana Ndoa wengi tu walio anzaa kushi kwenye mahusiano!!
 
Unajidanganya wafupi ni warefu kwenda chini au nasema uongo dada zangu?
 
Inamaana mwanamke alikataa dudu ya Luteni akafuata Dildo au ni Mchepuko wa Luteni?
Hapa hata mi sielewi, story Kama inachanganya hivi, maana bado watu wawili wengine nao alikua kawateka! hao ni kina nani kwenye hili saga!!
 
Alafu inakuwaje mnaishi kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana kwa amani,lakini siku mkiamua kufunga Ndoa rasmi lazima ndani ya muda mfupi baada ya kufunga ndoa lazima mpalaganyike,hii nimeona kwa Wana Ndoa wengi tu walio anzaa kushi kwenye mahusiano!!

Mara nyingi wanawake kama hawajaolewa na kuishi kikawaida tu huwa hawajiamini sana wanajua muda wowote wanapigwa chini ,sasa wakishaolewa wanajua tayari hapa mkataba hakuna cha kuwatenganisha na kama wakitenganishwa PKP(Pasu kwa pasu) hivyo kunakuwa na kujisahau kwa baadhi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…