Botswana yapanga mipango ya kuanza kutumia lugha ya Kiswahili Shuleni

Botswana to introduce Kiswahili in schools

The Citizen

Kuna Mmoja wapo najua kwa jinsi anavyopenda 'Kukurupuka' huku akiwa amezungukwa na 'Waongo' wengi watamwambia tu 'ajimwambafai' nayo.
Umeishiwa hoja.

Unaokoteza sasa
 
Botswana to introduce Kiswahili in schools

The Citizen

Kuna Mmoja wapo najua kwa jinsi anavyopenda 'Kukurupuka' huku akiwa amezungukwa na 'Waongo' wengi watamwambia tu 'ajimwambafai' nayo.
Hata watumie Lugha ya kisukuma, kumpatia kura ni ndoto. Hakujua aliajiriwa na wananchi alijisahau.
 
Botswana to introduce Kiswahili in schools

The Citizen

Kuna Mmoja wapo najua kwa jinsi anavyopenda 'Kukurupuka' huku akiwa amezungukwa na 'Waongo' wengi watamwambia tu 'ajimwambafai' nayo.
Acha zako, na kumbuka kuna maisha baada ya oktoba. Hivyo chunga hayo maneno yako
 
Botswana aims to introduce Swahili language in the southern African country's local schools, a senior official said Tuesday.

At a language teaching workshop in Francistown, Botswana's second-largest city, Fidelis Molao, Botswana's Minister of Basic Education, said that Swahili language will be introduced in schools in future.

Swahili is a Bantu language widely spoken in the Great Lakes region and other parts of eastern and south-eastern Africa including Kenya, Tanzania, Burundi, Rwanda, the Democratic Republic of Congo (DRC) and parts of Malawi

If introduced, Swahili will be the first African language from outside the boundaries of the world's largest producer of diamonds by value.

The Southern African Development Community (SADC) region will be one of the major trading partners with many Swahili-speaking countries in the near future, which Botswana needs most as it is vying for an export-led economy, Molao said.

English, French and Portuguese are the three languages currently used by the SADC.

Botswana to introduce Swahili language in schools | Nation
Unaishi botswana
 
Ni jambo la kumpendeza Mungu CCM wakapumzishwa wakapisha akili mbadala.Chama miaka 50 bado unaahidi watu maji.Inatosha.
 
Mgombea wetu yupo mapumzikoni maana bado haelewi ni strategy gani nzuri ya kumkabili Lissu the Great

Ngoja tuone atatoka na style gani baada ya kichapo cha bukoba na geita

Hivi lisu hakumteua mambe kimange kuwa mgombea mwenza wake??
 
Botswana aims to introduce Swahili language in the southern African country's local schools, a senior official said Tuesday.

At a language teaching workshop in Francistown, Botswana's second-largest city, Fidelis Molao, Botswana's Minister of Basic Education, said that Swahili language will be introduced in schools in future.

Swahili is a Bantu language widely spoken in the Great Lakes region and other parts of eastern and south-eastern Africa including Kenya, Tanzania, Burundi, Rwanda, the Democratic Republic of Congo (DRC) and parts of Malawi

If introduced, Swahili will be the first African language from outside the boundaries of the world's largest producer of diamonds by value.

The Southern African Development Community (SADC) region will be one of the major trading partners with many Swahili-speaking countries in the near future, which Botswana needs most as it is vying for an export-led economy, Molao said.

English, French and Portuguese are the three languages currently used by the SADC.

Botswana to introduce Swahili language in schools | Nation
Tunaishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kuandaa nafasi za ajira huko Botswana.
 
Back
Top Bottom