Umeishiwa hoja.Botswana to introduce Kiswahili in schools
The Citizen
Kuna Mmoja wapo najua kwa jinsi anavyopenda 'Kukurupuka' huku akiwa amezungukwa na 'Waongo' wengi watamwambia tu 'ajimwambafai' nayo.
Hata watumie Lugha ya kisukuma, kumpatia kura ni ndoto. Hakujua aliajiriwa na wananchi alijisahau.Botswana to introduce Kiswahili in schools
The Citizen
Kuna Mmoja wapo najua kwa jinsi anavyopenda 'Kukurupuka' huku akiwa amezungukwa na 'Waongo' wengi watamwambia tu 'ajimwambafai' nayo.
ujerumaniBotswana to introduce Kiswahili in schools
The Citizen
Kuna Mmoja wapo najua kwa jinsi anavyopenda 'Kukurupuka' huku akiwa amezungukwa na 'Waongo' wengi watamwambia tu 'ajimwambafai' nayo.
Acha zako, na kumbuka kuna maisha baada ya oktoba. Hivyo chunga hayo maneno yakoBotswana to introduce Kiswahili in schools
The Citizen
Kuna Mmoja wapo najua kwa jinsi anavyopenda 'Kukurupuka' huku akiwa amezungukwa na 'Waongo' wengi watamwambia tu 'ajimwambafai' nayo.
Utasikia "Amekuza diplomasia"
Aaaaweeee fumbo mfumbie mjinga wewe mwerevu atangamua tuKwani kuna Mgombea yoyote Yule ambaye unadhani Mimi hapa ndiyo nimemlenga Mkuu? Huu Uzi wangu unawahusu Wagombea wote na uwafikie.
Sisi tuna taka hela na siyo kiswahili
Anayesema twende Botswana yeye mwenyewe hajui kiswahili anajua kilugha pekeeMtaambiwa Nendeni Botswana mkafundishe kiswahili
Unaishi botswanaBotswana aims to introduce Swahili language in the southern African country's local schools, a senior official said Tuesday.
At a language teaching workshop in Francistown, Botswana's second-largest city, Fidelis Molao, Botswana's Minister of Basic Education, said that Swahili language will be introduced in schools in future.
Swahili is a Bantu language widely spoken in the Great Lakes region and other parts of eastern and south-eastern Africa including Kenya, Tanzania, Burundi, Rwanda, the Democratic Republic of Congo (DRC) and parts of Malawi
If introduced, Swahili will be the first African language from outside the boundaries of the world's largest producer of diamonds by value.
The Southern African Development Community (SADC) region will be one of the major trading partners with many Swahili-speaking countries in the near future, which Botswana needs most as it is vying for an export-led economy, Molao said.
English, French and Portuguese are the three languages currently used by the SADC.
Botswana to introduce Swahili language in schools | Nation
Kwan naww n mbotswana...au kihelehele...kiswahili Botswana wewe unabwatuka huku....nenda kaiambie serikal ya botswanaSisi tuna taka hela na siyo kiswahili
Jifunze kuandikaKwan naww n mbotswana...au kihelehele...kiswahili Botswana wewe unabwatuka huku....nenda kaiambie serikal ya botswana
Mgombea wetu yupo mapumzikoni maana bado haelewi ni strategy gani nzuri ya kumkabili Lissu the Great
Ngoja tuone atatoka na style gani baada ya kichapo cha bukoba na geita
Kumbe na wewe unakaaaa kwa mzeee wa UNOPamoja na hizi 'Kongole' zako zote Kwangu ila GENTAMYCINE Kura yangu ya Urais ni kwa Magufuli, Ubunge Gwajima na Diwani ni yake Rwakatare.
Tunaishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kuandaa nafasi za ajira huko Botswana.Botswana aims to introduce Swahili language in the southern African country's local schools, a senior official said Tuesday.