Bounou wa Sevilla, golikipa anayeijua vizuri saikolojia ya kudaka penati

Hiyo ya kutisha unataka kuruka wapi ni sehemu tu ya mbinu ingawa makipa wengi wanafanya. Embu nikitulia nitajitahidi kuwatafunia na kuwamezea kabisa ingawa siyo njia nzuri katika kuelekeza vitu.
 
Mtoe Mesi kati ya wapiga penalty bora, ungesema Jorginho, Bruno Fernandez au Balotel, mpiga penalty mzuri anapiga juu hakuna kipa wa kudaka ingawa hao niliowataja hawapigi juu.
 
Kuhusu kucheka, hiyo picha kama sikosei ni penati ya 3 ya mechi ya Morocco dhidi ya Spain. Baada ya Bono kutumia mbinu mara mbili na zote akaokoa, mara ya tatu akatumia tena tuvitu hivyo hivyo. Alipoona mpigaji kaingia kwenye mfumo wake anapiga kule kule alipomhadaa kuwa hataruka, ndiyo hiyo picha anaokoa huku anatabasamu.
 
Angalieni mechi ya Kombe la Dunia kati ya Morocco na Spain, angalia kwa makini Bono tuvitu alikuwa anafanya kabla ya kila penati na jiulize vile vitu alivyokuwa anafanya vilikuwa na athari gani kwa mpigaji.
Taja hivyo vitu
 
Vitu ghn hvyo ndo utuelezee sasa tuelewe mkuu.
 
Jana nimeona tuvitu fulani kwenye penati ambavyo niliviona kwa huyu Mmorocco. Nilisema udakaji wa penati ni sayansi na saikolojia, ukivimasta vitu viwili vitatu, penati utazidaka saaana.
 
Jana nimeona tuvitu fulani kwenye penati ambavyo niliviona kwa huyu Mmorocco. Nilisema udakaji wa penati ni sayansi na saikolojia, ukivimasta vitu viwili vitatu, penati utazidaka saaana.

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…