overated Mr. Slim... hana loloteHuyo ndiyo Big boss wao/wenu wote, hapo ni lazima wote wana bow down, kupiga kura ni formalities tu!
“its enough the people know there was an election. People who cast the votes decide nothing, the people who count the votes decide everything” -J.Stalin!
View attachment 2358917
Well said, umemaliza, jamaa mahaba yake kwa PK yamefanya aone Ruto kainamaov
overated Mr. Slim... hana lolote
That’s very true.ov
overated Mr. Slim... hana lolote
kuna ka ukweli lakiniNdugu zetu Hawa sijui ni nani aliwadanganya!Huwa naongea nao Sana pande za TABORA,karagwe na kwingineko Eti!sisi tuliumbwa kutawala!!sisi tulitokea ethiopia!sisi ni ukoo wa king solomon mama yeti ni Beethsheba!nawacheka Sana Hawa wajomba zangu hawa!!
Hizi swaga sijui wataziacha Lini!!
Bila Polisi Kagame ni mwepesi kuliko pamba , labda awe madarakani milele , vinginevyo kaisha .
Wakati akimshikilia Diana Rwegara mkwara mmoja tu tulimpiga hapa JF , wazungu waliposoma tu wakatoa amri , mbona aliachiwa ?