Bow down! Big Boss!

Bow down! Big Boss!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Huyo ndiyo Big boss wao/wenu wote, hapo ni lazima wote wana bow down, kupiga kura ni formalities tu!

“its enough that the people know there was an election. People who cast the votes decide nothing, the people who count the votes decide everything” -J.Stalin!

1663342856679.jpeg
 
ov
Huyo ndiyo Big boss wao/wenu wote, hapo ni lazima wote wana bow down, kupiga kura ni formalities tu!

“its enough the people know there was an election. People who cast the votes decide nothing, the people who count the votes decide everything” -J.Stalin!

View attachment 2358917
overated Mr. Slim... hana lolote
 
Ndugu zetu Hawa sijui ni nani aliwadanganya!Huwa naongea nao Sana pande za TABORA,karagwe na kwingineko Eti!sisi tuliumbwa kutawala!!sisi tulitokea ethiopia!sisi ni ukoo wa king solomon mama yeti ni Beethsheba!nawacheka Sana Hawa wajomba zangu hawa!!

Hizi swaga sijui wataziacha Lini!!
 
kuna ka ukweli lakini
 
Bila Polisi Kagame ni mwepesi kuliko pamba , labda awe madarakani milele , vinginevyo kaisha .

Wakati akimshikilia Diana Rwegara mkwara mmoja tu tulimpiga hapa JF , wazungu waliposoma tu wakatoa amri , mbona aliachiwa ?

Ungejua hata ni Bosi wa chadema pia usingesema hivyo, kumbe hivi vyama mnavyojishugulisha navyo na kujifanya ni ma die hard fans hata pia hamvielewi? Huyo ndiyo Big Boss wa kila mtu, hamjajua tu bado jinsi Dunia inavyoendeshwa and who pull the strings, BTW Zito Kabwe amefikaje Ukraine? Nani ameorganize kila kitu? Nimeona picha hapa JF, …
 
Back
Top Bottom