Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Samahani mkuu,izo Roli za mchina mpya tsh. Ngapi na zinadumu kwa muda gani kabla ya kuzikata screpa,maana nasikia zikichokaga hazina namna zaidi yakuuza au kuzichinja screpaYeah, upo sawa kabisa,
Ndio maana sisi tunakimbia hilo game