Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Samahani mkuu,izo Roli za mchina mpya tsh. Ngapi na zinadumu kwa muda gani kabla ya kuzikata screpa,maana nasikia zikichokaga hazina namna zaidi yakuuza au kuzichinja screpaYeah, upo sawa kabisa,
Ndio maana sisi tunakimbia hilo game
Mchina miaka yake 4 mpaka mitano,Samahani mkuu,izo Roli za mchina mpya tsh. Ngapi na zinadumu kwa muda gani kabla ya kuzikata screpa,maana nasikia zikichokaga hazina namna zaidi yakuuza au kuzichinja screpa
Bii yake nasikia inakumbikia 180 MSamahani mkuu,izo Roli za mchina mpya tsh. Ngapi na zinadumu kwa muda gani kabla ya kuzikata screpa,maana nasikia zikichokaga hazina namna zaidi yakuuza au kuzichinja screpa
Kumbe cheap tuBii yake nasikia inakumbikia 180 M
*Zinakuja zikiwa mpya(0km)Mkuu FAW na zile TATA zimewapa changamoto gani?