Neyahoo
Member
- Sep 7, 2019
- 81
- 92
Wakati watu wengine wakipata utajiri wanawaza kuspend as much as they can au asipospend Basi atawekeza zaidi kukuza utajiri wao lakin Elon musk yupo kivingine huyu jamaa Ana vision ya hali ya juu Sana badala ya kuongeza product ambazo zitawanyonya wanyonge ili yeye abaki juu kama wanavyofanya wengine yeye always anatafuta solution ya kuwezesha maisha kuwa affordable as possible hata kwa mtu wa kawaida sana.
Haya Sasa here you go boxabl Casita na campuni ya kutengeneza mobile houses Yani unatumiwa nyumban Kama vile parcel Yan unaenda kuichukua bandarini kama gari vile hahaha. Ujenzi wa Hizi nyumban wanatumia prefabricated materials sio concrete Kama tulivozoea hii kweli itabadilisha maisha ya watu wengi Sana,watu wataweza kuafford their dream house.
Sijajua ubora wake japo haziwezi kuwa na ubora sawa na Hizi za cement lkn ubora utakuwepo kwa kiwango chake,ubora unaoweza kusipport Hizi nyumban ndogondogo za vyumba viwilivitatu sio mbaya .kwa kweli nampongeza Sana anawaza mbali mno ,hivi unapata hisia gani ukiambiwa Kuna uwezekano wa kujengewa your dream house ambayo ingekugharimu 100M kwa 30M fantastic isn't?
Nataman Africa nasi tungefika huku,sio kwamba hakuna wabunifu wapo wengi Sana dunia haijawah kuishiwa wabunifu popote pale sema Sera zetu ndio zinatukwamisha. Mfano ukija na project ya hivi ukute Kuna kigogo flan Ana deal na real estate lazima akutengenezee scandal uanguke na Mara zote alieshikilia mpini ndio mshindi wewe ulieshikilia makali uachie au ukatwe ufwe😴.
Ngoja ningojee izi Ajira za sensa Mambo yakitiki labda ntaagiza rumu mbili za mwendokasi😋😁😁