Boxer BM 100cc na madereva bodaboda wa kanda ya ziwa hasa Bukoba na Mwanza mjini

Chief Wingia

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
2,653
Reaction score
4,744
Habari zenu wadau.

Last week nilikuwa pande za Kagera (Bukoba) na viunga vyake pia nilipita na jijini Mwanza (Mwanza town).

Nikiri kuna mengi nilijionea ila la kushangaza ni madereva wengi wa bodaboda kutumia pikipiki za Boxer BM 100cc katika harakati zao za kuingiza kipato.

Tofauti kabisa na Dar ambako unakuta chuma nyingi ni TVS 125/150cc au BOXER BM 125/150cc na mikoa mingine kama Pwani, Moro, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Iringa, Mbeya unakuta chuma nyingi ni zaki china yaani Haojue, Sinoray, Kinglion na Feken 125cc au 150cc.

Yaani unakuta chuma imebebeshwa mzigo na abiria mshikaki mpaka unajiuliza hapa siwange tafuta hata chuma za Boxer 125cc au hata chuma za mchina ila ndio hivyo tena inabaki kimya kujifunza na kjuonea.

Swali la msingi hapa ni je, hizi Boxer BM 100cc zina siri gani hasa..?

1. Kubana wese
2. Ugumu engine na uimara wa chasis
3. Au ni mazoea tu

 
Ushamba Ni tatizo kwa Hawa jamaa zetu!!!
Kuna mmoja alinishangaza eti siti ya dereva kwenye daladala wanakaa wawili[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Nadhani nyingi zinatoka uganda kwa magendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…