Boxer (BM150) haifiki top speed yaani 140Km/h inaishia 90km/h

Alejandroz

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
329
Reaction score
413
Mwaka mpya mwema wapendwa,

Nina pikipiki Boxer (BM150) nikiwa kwenye high way nikikimbia sana(nikivuta mafuta hadi mwisho) naishia speed ya 90 km/h sivuki 100km/h nakuendelea.

Tatizo linaweza kuwa nini na naweza kulitatua vipi ndugu zanguni.
 
Kuna pikipik Honda 125 ina speed mpaka 120 lakini huwa inaishia 80km/h nikiwa highway, kwasasa nmeamua kuyatoa hayo maspeedmeter
 
acha woga mkuu maliza gia kwenye tambarare halafu vuta weye hadi mwisho uone kama haimalizi.

Onyo: Angalia unaweza kusomea DASHBOARD unapostahili kuwekwa
 
Ivizie unaposhusha kilima uvute mafuta au tembelea tatu mpaka uhisi imelalamika sana ndio uveshe nne.
Onyo: body ni mwili wako
 
Yani boda boda uendeshe 140KPH you must be out of your mind!
 
Mwaka mpya mwema wapendwa,

Nina pikipiki Boxer (BM150) nikiwa kwenye high way nikikimbia sana(nikivuta mafuta hadi mwisho) naishia speed ya 90 km/h sivuki 100km/h nakuendelea.

Tatizo linaweza kuwa nini na naweza kulitatua vipi ndugu zanguni.
Unaposema unaishia speed 90km/h halafu tena hauvuki 100km/h una maana gani? Unaishia 90 au 100?
Kwa kifupi boxer ambayo haina shida yoyote inafika 100km/h bila shida yoyote na kama barabara imenyooka vizuri unaweza kuforce ikafikisha 110km/h. Kwahyo kama yako inaishia 100km/h hiyo ni kawaida tu ila kama inaishia 90km/h na haipandi zaidi ya hapo basi mtafute fundi akuchekie.
 
Nilimaanisha inaishia 90 kwenye tambalare kwenye mteremko ndo inafika 100 lakini haizidi hapo.
Sasa swali ni je kwanini haifiki 120 nakuendelea wakati geji imeandikwa hadi 140km/h?
 
Maranyingi kilichokuwa kwenye dashboard huwa hakina uhalisia. Ila unapokuwa kwenye mteremko pikipiki inaweza ikafikia speed hiyo unayosema(140km/h) kutegemea na mteremko(japokuwa inakuwa inawezeshwa na mteremko na sio uwezo wa engine) na ndio maana hata ya kwako imeweza kufika 100 kwenye mteremko. By the way peleka kwa fundi hiyo pikipiki, boxer bm 150 kufika 100 tambarare ni rahisi sana tena ndani ya muda mfupi tu.
 
Back
Top Bottom