Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 413
Unaposema unaishia speed 90km/h halafu tena hauvuki 100km/h una maana gani? Unaishia 90 au 100?Mwaka mpya mwema wapendwa,
Nina pikipiki Boxer (BM150) nikiwa kwenye high way nikikimbia sana(nikivuta mafuta hadi mwisho) naishia speed ya 90 km/h sivuki 100km/h nakuendelea.
Tatizo linaweza kuwa nini na naweza kulitatua vipi ndugu zanguni.
Nilimaanisha inaishia 90 kwenye tambalare kwenye mteremko ndo inafika 100 lakini haizidi hapo.Unaposema unaishia speed 90km/h halafu tena hauvuki 100km/h una maana gani? Unaishia 90 au 100?
Kwa kifupi boxer ambayo haina shida yoyote inafika 100km/h bila shida yoyote na kama barabara imenyooka vizuri unaweza kuforce ikafikisha 110km/h. Kwahyo kama yako inaishia 100km/h hiyo ni kawaida tu ila kama inaishia 90km/h na haipandi zaidi ya hapo basi mtafute fundi akuchekie.
Sawa nitajaribu nduguCheki plug officer
Gauge imeandikwa hivyo broYani boda boda uendeshe 140KPH you must be out of your mind!
Pole sn!Boxer ilichowahi kunifanyaa, dah sina hamu.
Ilikufanyaje mkuuBoxer ilichowahi kunifanyaa, dah sina hamu.
Maranyingi kilichokuwa kwenye dashboard huwa hakina uhalisia. Ila unapokuwa kwenye mteremko pikipiki inaweza ikafikia speed hiyo unayosema(140km/h) kutegemea na mteremko(japokuwa inakuwa inawezeshwa na mteremko na sio uwezo wa engine) na ndio maana hata ya kwako imeweza kufika 100 kwenye mteremko. By the way peleka kwa fundi hiyo pikipiki, boxer bm 150 kufika 100 tambarare ni rahisi sana tena ndani ya muda mfupi tu.Nilimaanisha inaishia 90 kwenye tambalare kwenye mteremko ndo inafika 100 lakini haizidi hapo.
Sasa swali ni je kwanini haifiki 120 nakuendelea wakati geji imeandikwa hadi 140km/h?
Ahsante aise.Pole sn!
Ilinitupa vibaya sana aise ilibidi niiuze week hiyohiyo.Ilikufanyaje mkuu