Boxer (BM150) haifiki top speed yaani 140Km/h inaishia 90km/h

Boxer (BM150) haifiki top speed yaani 140Km/h inaishia 90km/h

Hiyo 140 ni ikiwa yenyewe bila mzigo wowote, ukishapanda wewe lazima ipungue
 
angalia mfumo wa indicator na double hazard zinawaka vizuri,, ukute ndo tatzo limeanzia hapo
 
Back
Top Bottom