Movies Store
JF-Expert Member
- Mar 17, 2022
- 288
- 938
Habari zenu ndugu zangu,naomba kwa watumiaji wapikipiki hasa BOXER msaada wenu wa fundi au mahali ninapoweza peleka pikipiki yangu ikafanyiwa mbwembwe ikawa na muonekano mpya kabisa.
Nakutana na pikipiki nyingi barabarani ni boxer ila kuna vitu imeongezwa imekua nzuri sana pikipiki hiyo hiyo kwa mtu huyu n nzuri kwa mwingine ni mbaya.
Nahitaji mahali ambapo nitabadilishiwa taa za brake zikawekwa za urembo,decoration zote kwa ujumla pikipiki iwe na muonekano mpya.
Kwa wakazi wa DAR naomba msaada wenu wa wapi naweza pata mtaalamu wa hizi kazi nipeleke boxer ikabadilishwe muonekane ikapodolewe itoke kama mwali haswaaa.
Aina ya PikiPiki ni BOXER BM (mdomo wa MAMBA)