Kuna Madem wanaweza kukugeuza Mtaji au
godoro kutwa kukulalia
Usipoangalia utafilisika mapema wakati utamu
mnasikia wote...
Asubuhi tu utasikia bae naomba
voucher ya elfu 5.. Hujakaa vizuri bae nataka elfu 15
nikapake rangi kucha... hasa elfu 15 unapaka rangi kucha au nyumba shenzi... jioni ikifika utasikia buu
naomba elfu themanini unajua chereani ya shangazi
mbovu...hasa me nimemtongoza shangazi yako au
nimekutongoza wewe....tuhurumieni wanaume boxer
zetu hazitoe hela....
Ujumbe huu umeletwa kwenu na msukuma mwenye hobbi za kizungu kwa hisani ya watu wa marekani....