Boxer zetu Hazitoi Hela..!!

Boxer zetu Hazitoi Hela..!!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Kuna Madem wanaweza kukugeuza Mtaji au
godoro kutwa kukulalia
Usipoangalia utafilisika mapema wakati utamu
mnasikia wote...
Asubuhi tu utasikia bae naomba
voucher ya elfu 5.. Hujakaa vizuri bae nataka elfu 15
nikapake rangi kucha... hasa elfu 15 unapaka rangi kucha au nyumba shenzi... jioni ikifika utasikia buu
naomba elfu themanini unajua chereani ya shangazi
mbovu...hasa me nimemtongoza shangazi yako au
nimekutongoza wewe....tuhurumieni wanaume boxer
zetu hazitoe hela....

Ujumbe huu umeletwa kwenu na msukuma mwenye hobbi za kizungu kwa hisani ya watu wa marekani....
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kama boxer zenu hazitoi hela.... basi ujenge urafik na mkono,maana hata sabuni lazima utoe hela
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kama boxer zenu hazitoi hela.... basi ujenge urafik na mkono,maana hata sabuni lazima utoe hela
technically unataka kusema wewe ni ''mjasiriamali''?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kama boxer zenu hazitoi hela.... basi ujenge urafik na mkono,maana hata sabuni lazima utoe hela
Wapo madem kibao ambao wahuni wanamega kisela for free
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kama boxer zenu hazitoi hela.... basi ujenge urafik na mkono,maana hata sabuni lazima utoe hela
Wapo madem kibao ambao wahuni wanamega kisela for free
 
hela lazma mtoe tu receipt hamna yaan ukikwepa huku utatokea sehemu nyingine
naona hiki kipengele ''Azimio la Beijing'' ilikiweka kama ''special case''......
 
Back
Top Bottom