majuto mperungu
JF-Expert Member
- Jul 20, 2012
- 394
- 118
Naomba kuuliza wakuu hizi pikipiki aina ya boxer ziko fresh? Hazisumbui? Na bei yake ikoje na anaetaka kufanya biashara na mimi ani pm
Nitashukuru kwa mawazo yenu
Nitashukuru kwa mawazo yenu