Boxing: Anthony Joshua apigwa na kuvuliwa mikanda yake na Andy Ruiz Jr

Boxing: Anthony Joshua apigwa na kuvuliwa mikanda yake na Andy Ruiz Jr

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Amepokea kichapo kikali raundi ya saba Ruiz amchapa kwa knockout baada ya kumdondosha mara nne

:::::::::::::::::

Kabla ya hili pambano baadhi ya mashabiki wa Joshua kwenye mitandao mbalimbali walimdhihaki Ruiz kuwa ataenda kufa baada yakumuona hana mwili wa mazoezi

Lakini baadhi ya wataalam wa Boxing waliwakosoa kwa kusema kuwa katika mchezo wa ngumi hasa Hevyweight huwa hautabiriki mwishowe aj kapigwa

Screenshot_2019-06-02-04-39-27-1.png
 
Andy Ruiz Jr produced one of the biggest shocks in the history of heavyweight boxing to rip Anthony Joshua's IBF, WBO and WBA world heavyweight titles from him and tear up the division's proposed plot lines.

In a truly remarkable affair at New York's Madison Square Garden, Ruiz floored Joshua four times en route to a seventh-round stoppage which stunned this famous arena.

Joshua was a 1-25 favourite with bookmakers and will now join the likes of Lennox Lewis and Mike Tyson as dominant champions to suffer defeats which brought the sport to a standstill.

And this was no fluke, no punch from the ages, it was the breakdown of a fighter who looked shattered from an early stage.

After flooring Ruiz with a left hook in the third round, Joshua hit the canvas when a right crashed against his temple. By the time the three minutes was up he had been down again thanks to a flurry when cornered.

It created an electric buzz amongst the 19,000 or so in the arena. Just what was happening? Were they going to see the unthiknable?

Ruiz was not even supposed to be here. He took the bout at six weeks' notice and tickets were being collected by fans 24 hours before the bout which still had the name of Jarrell Miller - Joshua's original opponent - printed on them.

By the seventh round, when Joshua touched down under a flurry of shots again, the game looked up. Seconds later he was down on all fours again and spat his gumshield out, perhaps to buy time.

He simply did not have it. The bout was waved off and all that was planned for the glamour division was ripped up thanks to a man who had been dubbed unglamorous due to his rounded physique.

Ruiz, from appearance to pedigree, was an underdog in every sense of the word. When Britons wake up on Sunday morning, they will read of a truly iconic upset.
 
watu walishasema kuwa jamaa ana mapungufu mengi siku akija kukutana na mtu mzoefu atapigwa na kweli
Safi sana..!
Nimefurahi kinoma yaani..!
Huyu Anthony Joshua kwangu ni overrated boxer,mapambano yake ya uwanja wa nyumbani ndio yanambebaga...
Huyu ilibidi ale kipigo tangu kwenye pambano alilopigana na Klitchko..!
 
Uzuri wa Andy sio defensive player, ni attacking destroyer na anajua kukwepa, kilichompoteza AJ kila akipiga jamaa analipa more times, afu alimu underrate Andy, lakini Andy alimuonya mapema kuwa unanichukulia poa ngoja nitakufundisha nidhamu. Sipendi mabondia wanaopambwa kwa kuchagua wapinzani dhaifu.

Naamini lazima AJ aombe rematch na Andy Jr before the end of this year . itakuwa mechi yenye Pesa ndefu though haitofikia km wakikutanishwa na Wilder a.k.a bomber
 
AJ huwa anachoka haraka, pumzi inakata, na huwa hapendi ngumi zimfikie ni mwoga sana wa ngumi na akipigwa anachanganyikiwa. Hilo lijamaa alilopogana nalo ni lifupi, umbo limekaa kiasara hasana , manyama uzembe sii manyamauzembe, kifutu sii kifutu na mbaya zaidi hakuna tofauti ya mbongo na kifaa cha kukalia , bukta imeningania mgongoni....mwili wote umejikusanuya sehemu moja na linajua kujibu ngumi za double double....AJ anaonekana kama amepungua sana uzito na miguu yake haina nguvu ya kushikilia mwili hasa kwenye misukosuko
 
Sasa ndio mjifunze kuwa hata hawa Mabaunsa mnaowaona wamejazia misuli minene si lolote ukithubutu kuchagama nae kwa Dakika hata tatu 3. Mimi binafsi nimewahi shangaza umati kwa kumkalisha mbavu nene licha ya mwili wangu wa kawaida tuu. Mike Tyson mwenyewe alishasema kuwa katika Ndondi issue sio misuli mikubwa tuu bali timing na kujua wapi kwa kupiga na wakati gani.
 
Yaani Chi chi Chibonge ,kamkalisha Joshua ,sasa angekutana diontay si angeua .Mimi mwenyewe nilikuwa namkubali Joshua na jana mikeka ya watu imechanika na wale wazee wa kujilipua waliompa Chibonge wamepiga mkwanja mrefu sana.
 
Trick kubwa ya Ruiz ni kutumia udhaifu wa Joshua kujihami kwa mkono mmoja,kitu ambacho kimemsababishia kuchoka haraka,alichokuwa anafanya ni kumjia mfululizo kila wakati na kutishia kama anapiga kitu kilichomfanya Joshua kupoteza nguvu nyingi kujihami badala ya kupiga...
 
Back
Top Bottom