Alistalikopaul
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 720
- 1,995
Mkuu ulemavu ni longterm effect ila yawezekana punch ikifika vizur mayweather akatoa na uharo kabisaa kama shortterm impact.Hawawezi kupambana kamwe kwani uzito tofauti sheria haziruhusu.
Anthony Joshu Kg 115, Myweather 68 kg.
Uzito wa Ngumi ya Joshua ikimpata vilivyo Weather Jr kama sio kufa basi ulemavu wa maisha.
Haiwezi kutokea wana uzito tofauti.Vp akipambana na my weather
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji3][emoji3]Mkuu ulemavu ni longterm effect ila yawezekana punch ikifika vizur mayweather akatoa na uharo kabisaa kama shortterm impact.
kakalishwa mara 4 sheeenzyyyAisee AJ kakalishwa down!!!
[emoji15][emoji15]
Kweli kabisa. Sema England wanapaisha sana watu wake. Mimi huyu huwa namuona anauwezo mdogo sana. Ile sikuile na Klitchiko sijui mzee alikosea wapi lakini AJ alikuwa amepotea kabisa.Safi sana..!
Nimefurahi kinoma yaani..!
Huyu Anthony Joshua kwangu ni overrated boxer,mapambano yake ya uwanja wa nyumbani ndio yanambebaga...
Huyu ilibidi ale kipigo tangu kwenye pambano alilopigana na Klitchko..!
Hiyo mechi iliniuma sana, jamaa akiwa nyumban huwa ana advantage.Safi sana..!
Nimefurahi kinoma yaani..!
Huyu Anthony Joshua kwangu ni overrated boxer,mapambano yake ya uwanja wa nyumbani ndio yanambebaga...
Huyu ilibidi ale kipigo tangu kwenye pambano alilopigana na Klitchko..!
Siku ile Klitchko alijisikia vibaya sana aisee..!Kweli kabisa. Sema England wanapaisha sana watu wake. Mimi huyu huwa namuona anauwezo mdogo sana. Ile sikuile na Klitchiko sijui mzee alikosea wapi lakini AJ alikuwa amepotea kabisa.
Eee bhana mkuu shukrani sana .
Joshua Defeated! - Anthony Joshua vs Andy Ruiz Jr. full fight Highlights
You are right,mimi ni fan wa AJ lakini nimeshangazwa kuona mtu mwenye msuli uliosimama jinsi anavyosambaratishwa na bonge nyanya,yaani kama unavyosema its all about imposing new fighting skills,kwani AJ alitaka kuendeleza upiganaji ule ule tuliouzoea kumpa ushindi,kumbe wenzake walisha mstudy na kuinvent skills za kuweza kummaliza...AJ ni boxer mzuri ila alimchukulia poa sana Andy Jr .. time changes huwezi kua champion milele watu wanakuja na new fighting skills everyday
Hahahaha AJ kafanya chaguo mbaya, afu alipotea kisaikolojia, huyu AJ hawezi shinda dhidi ya Tyson Furry wala Wilder , hahaha mexicana , let's go baby Andy Ruiz Jr new champ in town with biggest KO at round 7