Boxing: Anthony Joshua apigwa na kuvuliwa mikanda yake na Andy Ruiz Jr

Kuna tofauti kubwa saaana kati mwana ndondi mwenye kipaji yaani tokea utoto yeye anajua kupigana mitaani na katika mechi.
Na yule mwenye misuli aliyetengenezwa kupitia lishe na gym na kufundishwa kupigana.
Ruiz na wakongwe wa masumbwi kama akina Tyson,Muhamad Ali,Freizer,Foreman na wengineo hao ni Natural fighters sio industrial fighters kama Joshua na klistcho n.k.
Ukipigana na Natural fighter uwe una Jab halafu unakimbia .. ukipigana nipe nikupe lazima Natural fighter anashinda awe bonge au njiti maana natural gifted talents ni lazima aje tu piga nikupige.
 

Anthony Joshua Opens Up About Ruiz Loss, Reacts to Tyson Fury’s Supportive Words
 

Nilitaka nikuite kumbe umeshafika
 
hatari sana
 
Dogo uliyosema ni ukweli ila mengi uliyoyasema in mahaba kuliko uhalisia
 
Safi sana..!
Nimefurahi kinoma yaani..!
Huyu Anthony Joshua kwangu ni overrated boxer,mapambano yake ya uwanja wa nyumbani ndio yanambebaga...
Huyu ilibidi ale kipigo tangu kwenye pambano alilopigana na Klitchko..!

Tuko pa1 mkuu. Hawa na wamarekani huwa wanabebwa sana makwao, hata ile game ya Pac na Mayweather. Waliniuzi sana
 
Dogo uliyosema ni ukweli ila mengi uliyoyasema in mahaba kuliko uhalisia

Wengine wanampenda kwa sababu ya rangi yake. Lakini tukiweka pembeni huu ujinga, Ruiz ni kiboko yao kamnyoosha kisawasawa mmwebwaji huyo.
 
Yaani Chi chi Chibonge ,kamkalisha Joshua ,sasa angekutana diontay si angeua .Mimi mwenyewe nilikuwa namkubali Joshua na jana mikeka ya watu imechanika na wale wazee wa kujilipua waliompa Chibonge wamepiga mkwanja mrefu sana.

Mnigga kadundwa mammae. Next round naombea adundwe mpaka azimie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…