Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,320
Hauelewi boxing
Fuatilia mpira tu.
Mkuu hapo umenipatia, maana ni kama vile kwenye mpira tuisifu timu iliyo possess badala ya iliyoshinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauelewi boxing
Fuatilia mpira tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu hapo umenipatia, maana ni kama vile kwenye mpira tuisifu timu iliyo possess badala ya iliyoshinda.
Mkuu Hance, naona Joshua anaweza kukaa kwa Yule Mmarekani....Bondia machachali asiyekuwa na maneno mengi bali vitendo anapokuwa ulingoni AnthonyJoshua (28)hatimaye ametangaza kuwa atapanda ulingoni mnamo tarehe 28 October 2017 kutetea mikanda yake ya WBF,IBO na IBF dhidi ya Kubrat Pulev(36) katika uwanja wa Millennium Stadium (Cardiff Prinvipallity Stadium)
AJ ambaye mwezi April mwaka huu alipanda ulingoni na kuzichapa na mkongwe Vladimir Klitchko na kufanikiwa kumtwanga kwa Knockout amepambana jumla ya mapambano 19 na yote ameshinda kwa K.O.
Kubrat Pulev ana rekodi ya kupambana mapambano 26 na kushinda mapambano 25 huku akipoteza pambano moja.
13 kati ya hayo 25 Pulev ameshinda kwa K.O.
Mashabiki wengi wa mchezo wa boxing duniani wamekuwa na mtazamo wa tofauti kuhusu mpambano huu ingawaje asilimia kubwa wamempa AJ kushinda kwa K.O licha ya uwezo mkubwa alionao Pulev.
Pambano ambalo mashabiki wengi walitarajia kuliona ni kati ya AJ na Deontay Wilder(Bronze Bomber)wakiamini ndiye mtu sahihi zaidi wa kupambana na AJ.
View attachment 582199
View attachment 582200