Boxing Antony Joshua vs Usyk

Boxing Antony Joshua vs Usyk

Zama za AJ ndo zimeisha hivo, tangu apigwe na Andy Ruiz ameporomoka kiwango chake kwa kasi.... Imeniuma sana....!!!

-Miguu yake haina balance
-Anarusha ngumi kwa mbali tena kwa uwoga
-Pumzi inakata mapema.

Yani siku akijaribu kuomba pambano na Tyson Fury hamalizi raundi mbili.
 
Nan kashinda hili pambano wengine hatujachek
 
Zama za AJ ndo zimeisha hivo, tangu apigwe na Andy Ruiz ameporomoka kiwango chake kwa kasi....Imeniuma sana....!!!

-Miguu yake haina balance
-Anarusha ngumi kwa mbali tena kwa uwoga
-Pumzi inakata mapema.

Yani siku akijaribu kuomba pambano na Tyson Fury hamalizi raundi mbili.
Msiniambie kapigwa mbona majanga haya
 
AJ ndio zile zile mbwembwe za waingereza ila hewa tupu. Na angepigwa TKO mjinga huyu.
IMG-20210926-WA0000.jpg
 
Hii Jumamosi ilikua ya hovyo haswa:

-Man U katandikwa na A Villa
-Simba kagaragazwa na Uto
-AJ kavimbishwa jicho na Usyk.

Usingizi nao umegoma....
Ghafla innaingia meseji ya mpenzi wako kakosea kukutumia alikua anamtumia mchepuko wake
 
Back
Top Bottom