Boxing Antony Joshua vs Usyk

Zama za AJ ndo zimeisha hivo, tangu apigwe na Andy Ruiz ameporomoka kiwango chake kwa kasi.... Imeniuma sana....!!!

-Miguu yake haina balance
-Anarusha ngumi kwa mbali tena kwa uwoga
-Pumzi inakata mapema.

Yani siku akijaribu kuomba pambano na Tyson Fury hamalizi raundi mbili.
 
Nan kashinda hili pambano wengine hatujachek
 
Msiniambie kapigwa mbona majanga haya
 
Hii Jumamosi ilikua ya hovyo haswa:

-Man U katandikwa na A Villa
-Simba kagaragazwa na Uto
-AJ kavimbishwa jicho na Usyk.

Usingizi nao umegoma....
Ghafla innaingia meseji ya mpenzi wako kakosea kukutumia alikua anamtumia mchepuko wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…