Boxing Day 2021: Kumbe Mwanamke akishalewa, usaliti ni nje nje!

Umeandika vizuri story yake haichoshi,sema umeniudhi ni Kama nilikuwa naangalia movie ambayo mwisho wake umeenda ndivyo sivyo....kwa nini hukumaliza kabisa shemeji?aaah umeharibu
 
Umeandika vizuri story yake haichoshi,sema umeniudhi ni Kama nilikuwa naangalia movie ambayo mwisho wake umeenda ndivyo sivyo....kwa nini hukumaliza kabisa shemeji?aaah umeharibu
Mimi kula shemeji zangu huwa Ni mwiko[emoji4]
 
Mwanamke unakunywa pombe hadi hujitambui ni hatari sana, vijana watapita na mbususu wakuachie magonjwa bure. Acha tuendelee kunywa juices tu maana mirinda na pepsi nazo zimeharibiwa[emoji19]
Kabisa mkuu,
Ningekua wa ovyo nishatembea nae,

Pia hata vijana nap wangejipigia[emoji3525]
 
Shughuli zote hizo na Shemeji yako??? Nawe ulikuwa na jambo...!
 
Kuna vt vinginee havifai hata kuhadithia wanaume wenzio yaan,unamwachaje achajeeeeee shemejiiii

Gentlemen code: usitembee na mwanamke akiwa hajitambui au yuko kwenye vulnerable position. That’s rape and bora akudharau kwa kumuacha salama. Mwanamke anayejitambua atakuheshimu maisha na si ajabu akakutunuku kwa mengi.
 
Sahii kabisa, kwasasa tunaheshimiana Sana.😊🙏
 
Una bonge la mke mstaarabu. Hicho ni kizazi cha zamani,sio hawa wa digital. Yeye anaangalia yake tu. Bonge la mke
Shukran sna mkuu,
Mi pia pamoja na upuuz wangu wote, naapreciate sana MUNGU kwa kunipa mke Bora Kama yule.[emoji120][emoji4]
 
Gentlemen code: usitembee na mwanamke akiwa hajitambui au yuko kwenye vulnerable position. That’s rape and bora akudharau kwa kumuacha salama. Mwanamke anayejitambua atakuheshimu maisha na si ajabu akakutunuku kwa mengi.
Much respect brother [emoji4][emoji120]
 
Shukran sna mkuu,
Mi pia pamoja na upuuz wangu wote, naapreciate sana MUNGU kwa kunipa mke Bora Kama yule.[emoji120][emoji4]
Kabisa mkuu. Ingekuwa mke wangu kila siku anakuibukia huko huko uliko. Kwanza hayo mambo yote angekuwa ameshayajua kitambo. Na sio kelele hizo sasa
 
Kabisa mkuu. Ingekuwa mke wangu kila siku anakuibukia huko huko uliko. Kwanza hayo mambo yote angekuwa ameshayajua kitambo. Na sio kelele hizo sasa
Ha ha ....
Kasheshe lake akiibuka uko sio POA kabisa
 
Ha ha ....
Kasheshe lake akiibuka uko sio POA kabisa
Ndio maana nakupa hongera sana kwa kupata mke. Mpaka anakuuliza kirahisi tu utalala huko huko tufunge geti. Nina rafikiangu ana mke kama huyo wako. Hataki yeye makuu. Hata simu ya mumewe hana time nayo. Ila mradi yeye katekelezewa mahitaji yake ya nyumbani ha watoto imekwisha hiyo. Wake zetu hawa wengine unamsaidia hata kumnunulia usafiri. Hawaridhiki hata kidogo ndio kwanza anaharibu ndoa yote. Hivi nakuambia katulia kanuna wiki ya 3 sasa
 
Dah! Pole Sana,
huo Ni bonge la mtihani.

Usikute unampeleka slow slow Sana[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…