Boxing Day

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,165
Reaction score
16,791
Salaaaam wanaJF.....

Uzi huu ni special kwa wale waliyobahatika kufungua zawadi kwa siku ya leo.

Picha zizingatiwe kwa wale waliyobahatika kukumbukwa na vizawadi.

Here we gonooooooo!!!
 
Shimboni msacha[emoji28][emoji28][emoji28] karibu mbege

Ushafungua zawadi hata ya parachichi hapo mgombani
Tsichae mshiki oko mkunde.

Hahahaha hii dozi ya supu na mbege nayopata inatosha kabisa.

Hiyo mbege nitunzie ntainywa hata ikiwa ngera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…