Boxing: Usiku wa vitasa

Boxing: Usiku wa vitasa

Big up Sarafina kwa ushindi wako....hakika nimependa pambano lenu
 
Pambano la sasa hv ni Paul kamatha aka kifaru kutokea Dar es salaam, Tanzania (orthodox) dhidi ya Lemi Madeje
 
Huyu mbongo mwenye kitambi wamemtoa wapi ?? Atatia aibu tu hapa.
 
Now Mudi pesa (Tanzania) vs Tope Tajdeen (Nigeria)
 
Waandaaji wa Vitasa wanatakiwa waweke pyrotecnics wakati mabondia wanaingia uwanjani
 
Hili pambano la fadhili majiha dhidi ya mghana ni noma
 
Back
Top Bottom