Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Najua most of wanaume wanahusisha uanaume katika mahusiano na kuprovide a.k.a kuhudumia. Hii ni idea pandikizi ambayo ina elements mchanganyiko za kike na za kiume.
Za kike kwasababu ni logical kwa mwanamke kupewa vitu ili awe mwanamke na kuwa soft, asifanye kazi mwili uweze kurelax, awe nyororo, aweze develop character ya uhitaji wa mwanaume both kwaajiri ya kufanya mapenzi na kwaajiri ya mahitaji yake yote.
Za kiume kwasababu mwanaume ili aweze kuwa na focus ya Maisha anahitaji kiota ambacho kitamkumbusha kila asubuhi kuwa anahitajika kutoka kwenda kufanya michakato itayompa hela na kuweza kumudu maisha na eventually huwa huko huko ndipo mwanaume huweza kujipata na kuwa successful.
Kimsingi ni kweli tunahitaji kuwahudumia wanawake kwa bili zao na ili kuweza kupata sababu ya kufanya maisha, wanawake wanatupatia watoto, wanatupikia, wanatuandalia mavazi, sehemu ya kulala inakuwa safi,na tunapowatomba tunapata tiba ya akili kubwa sana kama wao wanavyopata tiba ya akili kubwa kutushinda.
Changamoto iliyopo sasa na ndio dhumuni la hii thread ni aina ya wanawake hawa wa kisasa ambao wao ndio wanachagua walipiwe nini, na nani, wakati gani, kiasi gani, na kwa njia ipi na kwasababu ipi.
Mwanamke anaweza kwambia umtumie 50K Airtel money, saa moja asubuhi, ndipo aamue kukufikiria kuwa anakuja kwako umle ama la. Na ukikiuka mojawapo za hizo condition mfano umwambie aidha sina kiasi hicho, au siwezi tuma saa hii ntakutumia baadae, au mtandao fulani hauna nikutumie huko badala ya Airtel money, hapo anaweza asijibu na akakupotezea na kwenda kwa fala mwingine ataetii. Kumbuka hapa naongelea demu pisi kali ambae ukimuona unadinda hadi mashine inauma na inaanza kutoa ute kabla hata haujaishika wala kuifanya chochote.
Sasa fanya hivi boychild. Formula ni hii,kwa mwanaume kuwa single maisha ni nafuu sana na ya gharama ya chini sana, kwa mwanamke kuwa kwenye mahusiano maisha ni nafuu sana na gharama ya chini na muda mwingine zero gharama kabisa hatolipa chochote.
Toka kwenye huo mkao wa kupangiwa utoe chako kwenda mtandao ambao hata hauna line yake, muda ambao haujapanga kutoka kwenda kwa wakala, na kutoa hela ambayo ungebalance bajeti hapo ndani.
Pisikali yangu ya kwanza niliiona nikiwa mdogo sana na nikajiapiza kuwa ndio mwanamke mkali kuliko wote na sitakuja muona mzuri kumshinda. Miaka 30 baadae nakutana na watoto wakali mara 500 ya yule na huwa najiambia mbona sijawahi kudhani kuna mwanamke mzuri kama huyu.
Najua na wewe unakutana na similar situations. Unajifunza nini? Purpose yako ndie next thing after God. Usiweke takataka yoyote baada ya MUNGU na wewe. Yaani MUNGU kwanza then wewe then purpose ya kuwepo.
Unaona Diamond, angeendekeza wanawake leo asingekuwa na jeuri ya kuwala kama maembe na kuchukua mpya. Sikwambii uchezee wanawake ila nakwambia usiwaendekeze hadi waanze kuingia katika miamala ya pesa. Ipende purpose yako itakulipa na kukupa heshima.
Mpende mwanamke atatumia pesa zako zikiisha ataondoka na atakukana kama hamkuwahi kuwa wapenzi na atakucheka ikibidi.