Boy child, focus na purpose yako maishani

Boy child, focus na purpose yako maishani

Mwamba unatema sana madini na kutengeneza alpha males ambao ndio watakaokuja kuikomboa hii jamii. Big up sana.

Nje ya topic naomba kuuliza unaandika kama Samcezar nyie ni ndugu?
 
Lazima tuwasanue wadogo zetu wa kiume. Hawana wa kuwapa miongozo, hawana wa kuwatetea na wakipotea kimaisha hawana wa kuwaokoa wanaishia kuwa laughing stocks kwa kifupi mamlaka, sheria, asasi za kiraia na mifumo yote ya kidunia imemtenga mtoto wa kiume kwaiyo ni jukumu letu mabroo kuwafungulia code mapema.

Sio kazi rahisi maana kuna wanaume wenzetu masimp, nice guyz na pussy driven watatupinga, kuna wanawake watatusakama maana tunaalibu masilahi yao. Kivyovyote lazima neno limfikie kila kijana wa kiume.
Tuishi humo. Adui namba moja wa Boychild ni hawa mafeminist na masimp. Anatakiwa kupewa knowledge ya Maisha ili afahamu nini kilimleta hapa duniani.
 
Mwamba unatema sana madini na kutengeneza alpha males ambao ndio watakaokuja kuikomboa hii jamii. Big up sana.

Nje ya topic naomba kuuliza unaandika kama Samcezar nyie ni ndugu?
Kikosi changu huyo, nae ni kamanda wa kambi hii ya Alphas.
 
asante kwa ushauri, kikubwa ni kila mmoja apambanie ndoto yake iwe kweli itimie. kwakua najua wanawake ni wanafiki sana, ukiwa nacho unapendwa, ukiwa mufilisi wanakucheka kwa dharau na kukubatiza majina kemkem yenye kejeli.
 
Haya ndio mambo ambayo nayasisitiza kila siku na kupata upinzani mkali sana kutoka kwa wadangaji, ferminists na simps
 
Back
Top Bottom