BOY or GIRL

BOY or GIRL

Easymutant

R I P
Joined
Jun 3, 2010
Posts
2,564
Reaction score
1,133
Wanajamii mnisaidie hapa mie na my wife wangu tunatarajia kupata mtoto miezi 7 ijayo,
sasa twawaomba sana wenye kujua ni jinsi gani ya kupredict ni mtoto wa jinsia gani atapatikana
msaada wapendwa....

Aksanteni.
 
Nadhani mngesubiri ifikapo miezi 5-7 mkapige utrasound mtakuwa na uhakika zaidi, ni mtoto wenu wa kwanza nini naona mnahamu sana,muombeni Mungu afya njema pia.Congrats!
 
Kweli nimekosea kuiweka hapa kwenye matangazo sijui jinsi ya kuihamisha, sasa moderator anisaidie,
Mama Brian ni mtoto wetu wa kwanza huyu .......:smiling:
 
King of Kings mie mgeni hapa kweli nimekosea kuipost hapa sasa inakuwaje jinsi ya kuihamisha Moderator sianaweza saidia?

Thenx
 
Mh, hii kali, KUPREDICT!!! Labda uende kwa sheikh yahaya! teh teh, akili ya kukambiwa.................!
 
Its always more exciting to get a surprise!
Why do u want to know now?Next time plan for the sex of ur baby before conception.
 
.........Kupredict ni ngumu sana, kama una hamu sana ya kujua jinsia ya mtoto nendeni kufanya ultrasound hapo mtakuwa na uhakika. Ikishafika miezi 4 tu jinsia ya mtoto inajulikana..........mie mwenyewe nilikuwa na hamu kweli ya kujua jinsia ya mtoto, sasa nipo miezi 5 najua jinsia ya mwanangu nipo so happy naomba kila siku Mungu anijalie nimalize safari salama.
 
Even with all science and all God still rules. Muhimu ni kumuomba Mungu awe mtoto mwenye afya njema, and normal, hayo mengine yote ni ya ziada. Ukimuuliza mzazi ambaye ana mtoto mwenye cerebral palsy - the gender is not important health matters more.
 
Thank you! T!
 
Mtoto yeyote atakayepatikana ni majaaliwa ya mungu..au mnaweza fanya UtraSound
 
Back
Top Bottom