mwandende JR
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,090
- 1,336
Sali uendelee na maisha yako.Mimi ni girl miaka 24 model sio muongeaji sana, natafuta mwanaume wenye umri kati ya miaka 25-30 kwa ajili ya kubadilisha mawazo ikiwezekana kuwa mume, awe ameokoka, sitaki sharobaro.
Uliyetayari ukuje pm
hakuna kitu hapo mkuu, hawa mabinti si ndio tunaishi nao mitaani, tunawaona, na hata hivyo kuoa au kuolewa kimtandao mtandao kuna mengi, mtu anaweza aka- fake maisha ikimradi tu akupate then ndani ya ndoa ndio makucha yakaonekana.Wana JF kuna kitu hamjajifunza bado. Siyo kweli kwamba dada zetu wanapenda kutafuta wanaume huku mtandaoni ila mazingira yanawalazimisha. Tofautisha binti na kijana was kiume, binti kashamaliza chuo kukaa nyumbani kupishana na baba kila wakati mlangoni ni shida, mara baba ana msuli wake anaingia bafuni binti anatoka, yaani hata kukaa kwa uhuru hawezi lazima aangalie uvungu wake kwanza, binti huyu anahitaji pedi, anahitaji mafuta ,anahitaji voucher, anahitaji kuvaa among others. Wakati mwingine analazimika kwenda kumtembelea shangazi, dada au kaka na mambo ni yale Yale. Hawa wa kutembelewa nao wanaishi kwenye nyumba ya kupanga wana watoto wanasomesha na familia kubwa. Wakati huo kumbuka ajira hazieleweki na waoji hawatokei. Jamani ndg zangu ukijiweka kwenye viatu vya hawa dada zetu unaweza kumng'ang'ania mwanaume kwa nguvu si utani. Nimeona haya kwa mabinti wawili moja nimesoma naye chuo alikuwa girlfriend wangu ila tunamaliza kaniacha yaani kwa Mara ya kwanza mwanaume napigwa kibuti na binti , binti kwao nambo safi ila kwasasa anataka nimuoe na anadai yuko tayari kuishi na mwanangu ( nilimwambia nina mtoto ila ukweli ni kwamba nishaoa). Baada ya chuo nilimpata mwingine ila huyu nilimuacha form five pia ( binti ana msambwanda wema kasingiziwa) huyu naye tulikosana kidogo kamua kuondoa nikabembeleza akagoma , aliporudi nikamwambia nina mke tayari akajipeleka narudia akajipeleka kwa jamaa mwingine bure juzi jamaa anataka akatoe mbuzi ( kwa mila za huyo binti) ili aendelee kufurahia msambwanda. Kwahiyo ndg msiwabeze hawa mabinti wanaotafuta wachumba humu hali ni ngumu kwa dada zetu. Hivi kama mwanaume anataka mwanamke aliyemzidi umri ili alelewe hali ikoje kwa mabinti. Kwa kumalizia ninapofanya kazi sasa nilifanya written nikapata 90% na oral nikapata 95% kwahiyo sifa zangu zilienea sijaripoti, niliporipoti tu kazini ndani ya wiki moja mama moja akanifuata akaniambia nataka nikupe binti yangu nitakusimamia hadi kwenye harusi wala hutatoa chochote nikamwambia nina mke hakukubali mpaka supervisor wangu akamthitibitishia kwamba nina mke kweli.
KWAHIYO HALI NI NGUMU SANA WAMAMA HAWATAKI KUISHI NA WATOTO WAO WAKIKE LABDA KWASABABU MZEE ANAZINGUA MABINTI NAO WANAONA AIBU KILA WAKATI KUPISHANA NA WAZAZI MLANGONI.
Ukimpata mume, usihangaike mchepuko nipo hapa....Mimi ni girl miaka 24 model sio muongeaji sana, natafuta mwanaume wenye umri kati ya miaka 25-30 kwa ajili ya kubadilisha mawazo ikiwezekana kuwa mume, awe ameokoka, sitaki sharobaro.
Uliyetayari ukuje pm
Mimi ni girl miaka 24 model sio muongeaji sana, natafuta mwanaume wenye umri kati ya miaka 25-30 kwa ajili ya kubadilisha mawazo ikiwezekana kuwa mume, awe ameokoka, sitaki sharobaro.
Uliyetayari ukuje pm
Natafuta mke namba yangu 0677570437Waliookoka wako wanapatikana makanisani. Humu kumpata ni ngumu.
Kweli mkuu huku kuna risk kubwa sana, maana huyu atafwatwa kwasababu tayari kashatangaza kwamba ana uhitaji. Halafu uwezo wa kufanya screening pia ni mdogo na ni ngumu na kama si muaminifu atakuwa nao wengi tu maana kila mtu anahudumiwa kivyakehakuna kitu hapo mkuu, hawa mabinti si ndio tunaishi nao mitaani, tunawaona, na hata hivyo kuoa au kuolewa kimtandao mtandao kuna mengi, mtu anaweza aka- fake maisha ikimradi tu akupate then ndani ya ndoa ndio makucha yakaonekana.
Sikatai wapo mabinti na sifa zao nzuri tu wamelazimika kutafuta wachumba online, na mimi nawaombea Mungu muweza wa yote awapatie waume kadri ya mapenzi yake.
Ila tatizo la mabinti wengi ni waoga kumfuata nigga na kumwambia kuwa anampenda au anahitaji wawe wapenzi ile live/ mubashara, matokeo yake ndio haya wanaamua kupitia mtandaoni, sasa huku, post kama hii tumeiona wengi, mi naweza nikaji- tune tu nikamuibukia huko PM kwa kuwa tayari najua ni muhitaji nikatumia huo mwanya kumdanganya tu nikamchezea then mwisho wa siku namwacha...,
Hizi date za mitandaoni ni risk sana, unaweza kupata usichokihitaji, ukaumia.
Mm nna vigezo vyoooote ila hko cha kuokoka hiko BIG NO...so njoo PM kama hiko kigezo hakimati sana[emoji1] [emoji1]Mimi ni girl miaka 24 model sio muongeaji sana, natafuta mwanaume wenye umri kati ya miaka 25-30 kwa ajili ya kubadilisha mawazo ikiwezekana kuwa mume, awe ameokoka, sitaki sharobaro.
Uliyetayari ukuje pm