BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Wewe mkorofi,
sitaki sharobaro maana yake nini?
Mbona wewe sista duu?
sitaki sharobaro maana yake nini?
Mbona wewe sista duu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada msubiri mwokozi aje mana yeye sio sharobaro wala hana michepukoMimi ni girl miaka 24 model sio muongeaji sana, natafuta mwanaume wenye umri kati ya miaka 25-30 kwa ajili ya kubadilisha mawazo ikiwezekana kuwa mume, awe ameokoka, sitaki sharobaro.
Uliyetayari ukuje pm
[emoji2] [emoji2] [emoji2]nimeokoka lakini napenda kuzaa nje ya ndoa
unaishi wap?Mimi ni girl miaka 24 model sio muongeaji sana, natafuta mwanaume wenye umri kati ya miaka 25-30 kwa ajili ya kubadilisha mawazo ikiwezekana kuwa mume, awe ameokoka, sitaki sharobaro.
Uliyetayari ukuje pm