Boyfriend hatimaye kuwa mume

Wewe mkorofi,
sitaki sharobaro maana yake nini?
Mbona wewe sista duu?
 
Mimi ni girl miaka 24 model sio muongeaji sana, natafuta mwanaume wenye umri kati ya miaka 25-30 kwa ajili ya kubadilisha mawazo ikiwezekana kuwa mume, awe ameokoka, sitaki sharobaro.

Uliyetayari ukuje pm
Dada msubiri mwokozi aje mana yeye sio sharobaro wala hana michepuko
 
Hivi nyie wadada mkoje ndo maana hamwolewi masharti eti mlokole nenda kanisani huku utaliwa bure.
 
Ondoa sharti la wokovu kwa kuwa wokovu wanaogopa majaribu mkipatwa na majaribu huko sebureni si mtahamia chumbani ghafla muupoteze wokovu wenu badili ili tuwe huru kuja
 
Mimi ni girl miaka 24 model sio muongeaji sana, natafuta mwanaume wenye umri kati ya miaka 25-30 kwa ajili ya kubadilisha mawazo ikiwezekana kuwa mume, awe ameokoka, sitaki sharobaro.

Uliyetayari ukuje pm
unaishi wap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…