Boyfriend Number 2!!

Kwanza jana Hawks wameshinda, Sasha.....Fierce yuko wapi amenifanya nipende B-ball ghafla[wink].

Heheheheheeee...wee Sasha alikuwa anaingia kwenye kumi na nane zako wewe ukawa unamletea pozi....

Ila babu Heat hawana ujanja series hii...na ikienda kwenye game 7 best believe nitakuwa ndani ya Highlight Factory kushuhudia kipigo watakachopata
 
Inanikumbusha last Season wakati Hawks inacheza na Celtics. Hahah Sasha..anafukuziwa na Brian McKnight wa hapa aka QM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…