Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwanza jana Hawks wameshinda, Sasha.....Fierce yuko wapi amenifanya nipende B-ball ghafla[wink].
Heheheheheeee...wee Sasha alikuwa anaingia kwenye kumi na nane zako wewe ukawa unamletea pozi....
Ila babu Heat hawana ujanja series hii...na ikienda kwenye game 7 best believe nitakuwa ndani ya Highlight Factory kushuhudia kipigo watakachopata