"Boys 2 Men", kwanini msiiache Tanzania ipumue?

Nchi imechezewa sana. Mfano huwa najiuliza, shule za kata zililetwa kuongeza maarifa/elimu ipi? Kila jambo tunafanya kwa majaribio nchi hii.
 
Reactions: Ame
Mfano, Dr. Salim Ahmed Salim, tulishindwaje kumfanya awe Rais wa Tz.
Kuna maneno kwamba kundi la JK, lilimuundia tuhuma na kumuita HIZBU! Sijui maana yake, ila ni siasa za kuchafuana sana.
Juzi wkt Dr Salim anafikisha miaka 80, JK huyo huyo ka tweet kinafiki kwamba wametoka mbali. Hii nchi ina umafia sana
 
Solution ya matatizo ya watamzania ipo kwenye mda na matukio. Vinginevyo tutapiga mayowe tu ambayo hayana effect yoyote kwa watawala.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Sio wote mkuu....ni 'baadhi' tu waliosalia madarakani na bado wana ushawishi huko Ccm mpaka zama hizi.

Ila wapo wazee wazalendo mfano kina Dr. Salim sema hawana ushawishi tena.
 
Bora basi wasiandaliwe kuliko hawa wanaoandaliwa na kuja na makundi yao badala ya kuwaongoza watanzania
 
Yani inakuwaje nchi ina watu wanapanga kufika juu ili wapige pesa?
Tena wanapanga hadharani bila aibu, mchana kweupe pee na watanzania hawana la kufanya....Ila aliyesimama asidhani yupo imara...Njia yao imejaa giza na utelezi mwingi, dhambi imewapofusha macho kiasi ambacho hawaoni mwisho wao ulivyo mbaya
 
Nafikiri Deep State yetu ni kama ipo kwenye majaribio, inachanganywa na inajikuta washaingia kingi na wanabaki kushangaa. Kiufupi HAITOSHI na haiogopwi na hao Boys 2 Men..
Imedhihirika wazi this time...I guess siyo wajinga kihivyo, retreat is never surrender...Mimi naamini Mungu yupo, wakati usiotazamia things will turn arround
 
Bado tuna safari ndefu sana kama Taifa.
 
Tena wanapanga hadharani bila aibu, mchana kweupe pee na watanzania hawana la kufanya....Ila aliyesimama asidhani yupo imara...Njia yao imejaa giza na utelezi mwingi, dhambi imewapofusha macho kiasi ambacho hawaoni mwisho wao ulivyo mbaya
Ngoja tusubiri tuone
 
Hakuna jambo la kudumu linaloishi kwenye nchi BILA kuruhusiwa na Taasisi kubwa liwepo!!!

Wangapi walifilisiwa na SERIKALI wakiwa na majina yao makubwa!!? wangapi wameuawa KWA mazingira tatanishi kwa sababu zisizoeleweka!!?

Bas ukiona HADI leo Boy's to men wapo ujue Wana baraka ya kuendelea kuwepo nchini wasingekua na Baraka wasingekuwepo HADI leo!!

Hivyo tu!!
 
Bado wako na Mama Tz
 
WAMEIBANA KOO WAO NA WAZAZI NA MARAFIKI ZAO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…