Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nita Gugu! In G. Makalla's voice.Angalia series ya Narcos au Google Los Pepes
Kazi tunayo...Until When You Decide That 'Enough Is Enough'.
Mimi nikisema huwa nachukiwa na kuonekana mwendawazimu, lakini niwaambieni ndugu zangu: Hawa wazee wa Cold-War na Ujamaa ni watu hatari mno kwa mustabali na ustawi wa taifa letu. Hiki kizazi kimerivuruga sana hili taifa na kitaendelea kufanya wanachokitaka mpaka tutapoamua kuwatoa kinguvu. Bila hivyo tutapiga mbizi kwenye lami....
TANZANIA INA LAANA MKUUHabari Wana JF,
Naomba kuuliza swali,
Je, "Boys 2 Men" ndio wazalendo wakubwa wa nchi hii?
Je, ni kwamba "Boys 2 Men" wanaipenda sana Tanzania?
Najenga hoja. Mnaoipenda nchi hii. Tuache u_CCM , u_CHADEMA. Tuulizane.
Je, "Boys 2 Men" ndio mwarobaini wa matatizo ya nchi hii?!
Je, Kuna uhusiano gani kati "Boys 2 Men", na "CCM INA WENYEWE"?
Naomba tuongee kama Taifa la watanzania. Je, nchi hii inamilikiwa?
Tafadhali sana, tuweke makundi ya kisiasa pembeni.
Binafsi nilimponda sana JK, nikamponda sana JPM, na Sasa najiuliza nianze kumponda na Samia? Au kuna tatizo sehemu Mimi sijajua? Nitaponda wangapi?
Nchi hii ni maskini sana. Je, "Boys 2 Men" ndio watakaoipeleka mbele nchi yetu?
Naomba kuwasilisha.
Karibuni tujadili Tanzania yetu ipone na kupaa kimaendeleo.
Mimi nafika wakati nahisi kukata tamaa kabisa juu ya Tz yetu.
Lini bro,mi nakumbuka maisha Bora kwa Kila mtanzania ambayo tukisubiri Sana baadae nikashuhudia watu wanagawana fedha kwenye viroba na hizo ndio zilitapakaa mitaani,serikali wakati huo inakopa fedha za kulipa mishahara.Bora boys 2 men kuliko Sukuma gang
Boys 2 men tuliishi vizuri watoto Shule za mana tulijenga tulinujua V8 kwa pesa zetu
Labda kamba yake ilikuwa ndefuLini bro,mi nakumbuka maisha Bora kwa Kila mtanzania ambayo tukisubiri Sana baadae nikashuhudia watu wanagawana fedha kwenye viroba na hizo ndio zilitapakaa mitaani,serikali wakati huo inakopa fedha za kulipa mishahara.
Nakumbuka makusanyo ya Kodi kwa mwezi ilikuwa sh 7b mishahara 6b ya ziada bakuli lilitembea dunia nzima saidia masikini saidia masikini mi sijui wewe ulikuwa umetega wapi mrija wako sikubishii huenda wewe ulikuwa mswano inategemea ulitega wapi.
In short hauwezi kuisha kwa sababu hawa watu wanapandikiza vimelea ambavyo vimeanza kuchipua kwenye utawala wa Huyu mama .vishapandikizwa na sasa vinamwagiliwa maji ila natamani opposition upae turudi ka uchaguzi wa 2015 uliokuwa umesababishwa na Huyu mkwereHuu mtandao wa wahuni ulioasisiwa na jk ndio umeifikisha nchi kwenye huu umaskini na bado wanataka kuendelea kutuibia.
Nchi hii haiwezekani kupata maendeleo mpaka awa wahuni wote wafeHatuwezi
Kazi ni moja tu kumng’oa bi mkubwa 2025Sasa kama haya majitu ndio yamejichimbia hivi! Tunafanyaje? Nchi inageuzwa kama chapati!!? Kweli?
Duuu nakumbuka kuna gazeti moja uingereza lilimnanga huyo ombaomba kwa kutembeza bakuli mpaka watanzania kwa ujumla tukabeba aibu yakeLini bro,mi nakumbuka maisha Bora kwa Kila mtanzania ambayo tukisubiri Sana baadae nikashuhudia watu wanagawana fedha kwenye viroba na hizo ndio zilitapakaa mitaani,serikali wakati huo inakopa fedha za kulipa mishahara.
Nakumbuka makusanyo ya Kodi kwa mwezi ilikuwa sh 7b mishahara 6b ya ziada bakuli lilitembea dunia nzima saidia masikini saidia masikini mi sijui wewe ulikuwa umetega wapi mrija wako sikubishii huenda wewe ulikuwa mswano inategemea ulitega wapi.
Ni juzi bingwa mmoja amekiri kuwa mitandao inayo nguvu kubwa so mi nashauri kwa hili taasisi CCM lililojigeuza joka kuu ,tuandamane humu humu watatusikia .sisi siyo visiki Mkuu , wasiposikia lazima tutapata njia mbadala ya kuwajulisha watusikie.Mkuu matatizo ya Tanzania hayakuanza na Raisi Jakaya wala Raisi Magufuli, yana mzizi mrefu sana. Pia hatuwezi kudharau kabisa mchango wa hawa wazee wala ushauri wao, japo mimi naamini kwamba wao wananufaika na huu mfumo hivyo ni nadra kwa wao kufanya maamuzi magumu yenye maslahi kitaifa. Wengi wao ni wahafidhina huku wengine wakiwa ni walafi mno. Sasa hilo la tutapataje fikra mpya ni jingine ambalo ukilizungumzia hadharani huwezi kukosa kuitwa mhaini, mchochezi au gaidi.......
Mimi nikisema huwa nachukiwa na kuonekana mwendawazimu, lakini niwaambieni ndugu zangu: Hawa wazee wa Cold-War na Ujamaa ni watu hatari mno kwa mustabali na ustawi wa taifa letu. Hiki kizazi kimerivuruga sana hili taifa na kitaendelea kufanya wanachokitaka mpaka tutapoamua kuwatoa kinguvu. Bila hivyo tutapiga mbizi kwenye lami....
Si kweli.
Upumbavu wa kusomesha peke yako kwa damu na jasho LA masikini , Unajenga huku jirani yako analala kwenye tope huo uchumi ?Bora boys 2 men kuliko Sukuma gang
Boys 2 men tuliishi vizuri watoto Shule za mana tulijenga tulinujua V8 kwa pesa zetu
Nimeigugu Los Pepes...na nimeelewa kwa nini US hataki mataifa ya China ama Russia kuwa na influence huko Amerika ya Kusini.Angalia series ya Narcos au Google Los Pepes
Na ajabu tunakopa ili kujenga vyoo na madarasa yasiyozalisha !!! Too much kwa kweliDawa ni kuipiga chini CCM, miaka zaidi ya 60 kila siku ni porojo tu! Tuwape wengine nao wakizingua wapigwe chini! Ccm wamejipa hatikiliki ya nchi hii kwa hiyo wanafanya watakavyo! Ndio mana wanafunga watu kwa ajili ya kutetea katiba mpya!
😀😀 Hiyo gugu ni balaa.Nimeigugu Los Pepes...na nimeelewa kwa nini US hataki mataifa ya China ama Russia kuwa na influence huko Amerika ya Kusini.
Hao wahuni wote wakifa kwani hawana watoto wao? Mwingine kashapewa na Unaibu.Huu mtandao wa wahuni ulioasisiwa na jk ndio umeifikisha nchi kwenye huu umaskini na bado wanataka kuendelea kutuibia.
Nchi hii haiwezekani kupata maendeleo mpaka awa wahuni wote wafe.