BP-Hatari

KGM

Senior Member
Joined
May 21, 2007
Posts
190
Reaction score
21
Nimeumwa na kichwa mpaka nikadondoka. Kucheck nikakutwa na vp ya 170/120. Nikapewa dawa ya kushusha lakini kesho yake nikapima 199/128. Nikabadilishiwa dawa, Leo nimepima 175/113. Mbali na ile ya kuanguka, sijikii vibaya lakini vipimo vinaonyesha hali yangu si nzuri jiata kidogo. Naombeni msaada WA tiba na mawazo
 
Mi BP yangu ni 160/100 na niko hivyo siku zote. Nikipewa dawa ya kushuka ili iwe normal uwa najisikia vibaya sana. Nilishachukulia normal yangu kuwa hiyo hiyo.
 
Nenda hospitali ukaonane na Dr wa magonjwa husika. Hiyo Ni hypertension. Kama ukifanya utajikuta pabaya
 
Tafuna Punje 2 za Kitunguu Saumu umeze kwa maji kisha baada ya dakika 10 kapime hiyo Presha yako ya kupanda utakuta imeshuka. Na Uwe unakula hicho Kitunguu Saumu kutwa Mara 3 Asubuhi punje 2 kabla ya kula kitu na mchana

kula tena Punje 2 kabla ya kula kitu na wakati wa usiku kula tena Punje2 kabla ya kula kitu fanya hivyo kwa muda wa siku 3 njoo uje unipe Feedback KGM
 
Mi BP yangu ni 160/100 na niko hivyo siku zote. Nikipewa dawa ya kushuka ili iwe normal uwa najisikia vibaya sana. Nilishachukulia normal yangu kuwa hiyo hiyo.

Ni kweli Ila Kuna mambo mengi yanayopelekea BP kuwa above normal 120/80

kama magonjwa ya Moyo, Figo n.k

Ni vyema akafahamu chanzo cha BP yake kuwa Juu ya kawaida.
 
Vitunguu swaumu havina madhara kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo.
 
Pole sana ndugu KGM hilo ni tatizo linalowasumbua watu wengi sana. Nina dawa kutoka bf suma ambayo imewasaidia wengi akiwepo babayangu. nitafute kupitia 0759077008 nikupatie suluhisho.
 
Mi BP yangu ni 160/100 na niko hivyo siku zote. Nikipewa dawa ya kushuka ili iwe normal uwa najisikia vibaya sana. Nilishachukulia normal yangu kuwa hiyo hiyo.

Mkuu hii haiwezi kuwa normal...inaweza kukuletea matatizo mengine in the long run!

Inaelekea hujapata dawa muafaka. Ni vizuri ukawasiliana na madaktari bingwa wa moyo.
 
Ukitafuna vitunguu swaumu huwa vinaacha harufu kali sana mdomoni.

Kuna jinsi ya kuthibiti ukali wa harufu?
Ukisha maliza kula Kiitunguu Saumu kula kipande kidogo cha tangawizi mbichi au kula hiliki au kunywa maji mengi au kula karafuu japo punje 5 itakata harufu ya kitunguu saumu Asamwa
 
tafuta asali mbichi changanya vijiko viwili vya chakula vya asali na kijiko kimoja cha chai cha mdalasin kula kila siku asubuhi au unaweza kutafuna mbegu za maboga zilizochemswa kama karanga
 
Ukisha maliza kula Kiitunguu Saumu kula kipande kidogo cha tangawizi mbichi au kula hiliki au kunywa maji mengi au kula karafuu japo punje 5 itakata harufu ya kitunguu saumu Asamwa

Mkuu MziziMkavu nakushukuru sana!

Nilikuwa naona shida kutumia vitunguu swaumu mchana lakini kwa kuzingatia ushauri wako nadhani itakuwa hakuna shida!
 
Mkuu MziziMkavu nakushukuru sana!

Nilikuwa naona shida kutumia vitunguu swaumu mchana lakini kwa kuzingatia ushauri wako nadhani itakuwa hakuna shida!
Kama ulikuwa unaona shida ya kutumia Kitunguu Saumu kwa ajili ya harufu bora utumie dawa zenu za kizungu za hospitali hazina harufuila zina madhara makubwa baadae.
Kwa kweli zipo tiba nyingi zenye madhara lakini tiba za Mbadala na asili hazimo kama zingnezo zilivyo mfano,

Unapoumwa na kichwa chote kwa ujumla kwa tiba mbadala nitakushauri kunywa maji na utapona,

Kwa tiba ya hospitali zetu za kizungu utaambiwa pata Dicloper au Panadol au Paracetamol ambayo direct unapoinywa inauchungu flani na athari yake baadae ni kudhoofisha ubongo na kuchosha mishipa ya fahamu kwa ujumla na kuanza kupoteza kumbukumbu polepole, Saa ni Chaguo lako Kunyoa au kunyolewa Bibie.@
Asamwa
 
Normal BP ni ngapi?

Blood pressure chart for adults

Using this blood pressure chart:
To work out what your blood pressure readings mean, just

find your top number (systolic) on the left side of the blood pressure chart and read across,

and your bottom number (diastolic) on the bottom of the blood pressure chart. Where the two

meet is your blood pressure. Hapo kwenye Rangi ya Njano 120/80 au 140/90 Hapo ni poa Zaidi ya hapo ni Hatari.@
King Kong III

What blood pressure readings mean

As you can see from the blood pressure chart, only one of the numbers has to be higher or lower than it should be to count as either high blood pressure or low blood pressure:

Ukitafuna vitunguu swaumu huwa vinaacha harufu kali sana mdomoni.

Kuna jinsi ya kuthibiti ukali wa harufu?

Mimi huwa nachukua punje 2 za hivyo vitunguu navimenya then badala ya kuvitafuta navimeza kama vidonge na maji ili kuepusha hiyo harufu kali mdomoni. Huwa napendelea vile vidogo dogo (ambavyo ni vikali kweli!!) siyo haya makubwa/yeboyebo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…