Nimeumwa na kichwa mpaka nikadondoka. Kucheck nikakutwa na vp ya 170/120. Nikapewa dawa ya kushusha lakini kesho yake nikapima 199/128. Nikabadilishiwa dawa, Leo nimepima 175/113. Mbali na ile ya kuanguka, sijikii vibaya lakini vipimo vinaonyesha hali yangu si nzuri jiata kidogo. Naombeni msaada WA tiba na mawazo