A Asamwa JF-Expert Member Joined Apr 13, 2012 Posts 3,711 Reaction score 2,462 Oct 1, 2014 #21 IROKOS said: Mimi huwa nachukua punje 2 za hivyo vitunguu navimenya then badala ya kuvitafuta navimeza kama vidonge na maji ili kuepusha hiyo harufu kali mdomoni. Huwa napendelea vile vidogo dogo (ambavyo ni vikali kweli!!) siyo haya makubwa/yeboyebo. Click to expand... Asante mkuu IROKOS kwa kutushirikisha uzoefu wako. Utanisaidia mimi pamoja na wengine pia!
IROKOS said: Mimi huwa nachukua punje 2 za hivyo vitunguu navimenya then badala ya kuvitafuta navimeza kama vidonge na maji ili kuepusha hiyo harufu kali mdomoni. Huwa napendelea vile vidogo dogo (ambavyo ni vikali kweli!!) siyo haya makubwa/yeboyebo. Click to expand... Asante mkuu IROKOS kwa kutushirikisha uzoefu wako. Utanisaidia mimi pamoja na wengine pia!