Mimi huwa nachukua punje 2 za hivyo vitunguu navimenya then badala ya kuvitafuta navimeza kama vidonge na maji ili kuepusha hiyo harufu kali mdomoni. Huwa napendelea vile vidogo dogo (ambavyo ni vikali kweli!!) siyo haya makubwa/yeboyebo.
Asante mkuu IROKOS kwa kutushirikisha uzoefu wako. Utanisaidia mimi pamoja na wengine pia!