Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli Bp inaweza kukuletea upungufu wa nguvu za kiume hasa isipotibiwa. Lakini kunadawa za Bp kama Beta blockers husababisha upungufu wa nguvu za kiume hivyo mara nyingi huwa hatuwapi vijana au wagonjwa waliokwenye umri wa kuzaliana. Mfano wa dawa hizo ni kama Atenalol, propranalol n.k.
Pole mkuu jitahidi kuzingatia vyakula na mazoezi matatizo haya hupungua. Kazi njema
Mkuu @ mupirocin hata methyldopa ina hako katabia ka kupunguza nguvu za kiume.