Mimi nawaomba tusaidiane kuishauri serikali kutafuta ufumbuzi wa Ugonjwa wa presha zaidi kwani unaua wengi, huu ni sawa na UKIMWI hebu wataalamu kuna dawa ya shinikizo la damu?
Je, mtu akishapata atasubiri kufa tu?
Kama kuna dawa tushauri kama kuna njia ya kuukwepa tushauri.
Asante
Tittle ya thread yako na maelezo yako hayaendani kabisa, hapa unajaribu kupotosha kitu usichokielewa huku ukiomba kuelimishwa.
Nikurekebishe kwamba hakuna ugonjwa unaoitwa BP bali kuna tatizo la High Blood Pressure ( Hypertension) ambalo pia si ugonjwa vilevile maana hakuna maabara iliyothibitisha kuwepo kwa Virus, bacteria, fungi ambao wanapelekea hii hali Bali ni kutokana na disturbance ya utendaji kazi wa mwili ( Physiology) inayopelekea narrowing of blood vessels hence retention of fluids in the body and finally results to high blood pressure ambayo inaweza kuwa Primary hypertension( essential huprtension) ambayo cause yake haifahamiki au Secondary hypertension ambayo cause yake inafahamika.
Tatizo hili linatibika appropiately baada ya kubaini Chanzo au visababishi ambavyo vinaweza kuwa.
1.High salt intake (Matumizi makubwa ya chumvi)
2.Kidney diseases( Matatizo ya Figo)
3.High cholesterol level (Kiwango cha mafuta mwilini)
4.Stress (Msongo wa mawazo)
5.Aging (Umri mkubwa)
6.Diabetes Mellitus( Kisukari)e.t.c
Kusema UKIMWI siyo hatari kama High blood pressure ni kupotosha Watu.
Upate huo UKIMWI alafu tuone...
Unapokuja Jukwaa hili kutaka kuelimishwa jaribu kuwa neutral ili upate kuelimishwa kwa kile usichokijua la sivyo tutapotosha watu wengi.
Muda wangu ni mchache nikipata wakati tena nitachangia.