Brad Pitt ametoka kwa Lupita Nyong'o na anatengeneza movie ili Lupita awe leading lady

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,892
From TMZ to entertainment news na Vanity fair and Losangeles times .

Unaambiwa Brad Pitt hawezi kujizuia na mtoto wa kikenya Lupita .

Angelina ameshaanza kulia na anawasiwasi Brad atamuacha na kuwa na Lupita .

Brad ameshainekana Mara 2 dinner peke yake na Lupita .

Mkumbuke Brad Pitt alimpenda Sana " Robin Given mke wa Mike Tyson".Ikabidi waachane kwa ajili Mike Tyson alikuwa anawatishia.What do you all think ?

Ungekuwa Lupita ungefanyaje?
 
Mtoto kisu yule hata ningekuwa mimi ningempitia
 
Aiseee Natalia nimefurahi kukusoma hapa tena baada ya kimya kingi!

Lakini lupita ni under 18?
 
Last edited by a moderator:
Brad Pitt is a hearthrob... but kusababisha aachane na mke wake na watoto wale wote? Mh.
 
Muosha huoshwa.Si atafute wa kwakwake huyo Lupita.

Brad Pitt hajaoa.Angeliana nae aliiba kwa mtu ( Jennifer ) unaambiwa Amefika kwa Lupita gazeti la Hollywood entertainment lili report " Mwanaume akimsogelea tu anawaambia stay away from my girl " hata Mimi ningekuwa Lupita ningetoka nae .Sometimes kufanikiwa inabidi u take risk
 
Ndo namsikia leo huyu Lupita, naishi wapi?
 
Ndo namsikia leo huyu Lupita, naishi wapi?

Si hapo tu tandare kwa tumbo ila kwa wazazi wake ni magomeni mapipa baba yake ndo anamiliki ule mjengo wa ghorofa nyingi pale posta hauja mjua tuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…